Nyumba inauzwa Mwandege Magengeni barabara ya Kilwa road, wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Ina vyumba vinne sitting room chumba kimoja master, jiko, kisima cha maji, stoo ndani full tank.
Uani ina chumba na sebule na banda la kufugia. Iko ndani ya ya fency. Dakika 3 main road ya Kilwa road milioni 65. 0767600250/0674913177