S silvaman New Member Joined Oct 23, 2011 Posts 4 Reaction score 1 Oct 26, 2011 #1 NYUMBA ISIYOMALIZIWA AMBAYO IMEJENGWA KOZI NNE IKIWA NA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA, SEBULE KUBWA NA STORE.IPO VISIGA MADAFU KIBAHA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD,ENEO LAKE ROBO HEKA LINA HATI YA UMILIKI ,BEi 4ml PIGA 0653987291
NYUMBA ISIYOMALIZIWA AMBAYO IMEJENGWA KOZI NNE IKIWA NA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA, SEBULE KUBWA NA STORE.IPO VISIGA MADAFU KIBAHA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD,ENEO LAKE ROBO HEKA LINA HATI YA UMILIKI ,BEi 4ml PIGA 0653987291
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Oct 26, 2011 #2 Nyoosha maelezo Mkuu. Hiyo nyumba eneo lake robo kilometa (KM)? Au robo acre? Kiwanja kina hadhi gani? Kimepimwa? Kina barua ya toleo? Au kina hati?
Nyoosha maelezo Mkuu. Hiyo nyumba eneo lake robo kilometa (KM)? Au robo acre? Kiwanja kina hadhi gani? Kimepimwa? Kina barua ya toleo? Au kina hati?
S silvaman New Member Joined Oct 23, 2011 Posts 4 Reaction score 1 Oct 26, 2011 Thread starter #3 Nimekusoma kaka asante tayari nimesha clear fault
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Oct 27, 2011 #4 silvaman said: Nimekusoma kaka asante tayari nimesha clear fault Click to expand... Sawa Mkuu.
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 316 Mar 11, 2014 #5 ni 4 ,million ??????? :A S 103: