Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Ndio kaka bei nzuri kabisaDuh...
Yaani kwa million 16 tu mtu unahamia
Haina vibwengo?Ndio kaka bei nzuri kabisa
Haina kaka. Karibu sana kwa biasharaHaina vibwengo?
Asante kaka kwa ushauri. Nitaongeza pichaBei nzuri.
Ongeza picha za ndani na nyingine za nje pande tofauti zitavutia wateja.
Mtu anaweza kuvutika, badala ya kununua gari akaanza na nyumba.
Asante kaka kwa ushauri. Nitaongeza pichaBei nzuri.
Ongeza picha za ndani na nyingine za nje pande tofauti zitavutia wateja.
Mtu anaweza kuvutika, badala ya kununua gari akaanza na nyumba.
Asante. johnthebaptist hebu njoo huku, acha kulala kwenye Toyota Crown lako, nunua nyumba kali bei mweleleHaina kaka. Karibu sana kwa biashara
Dah bonge la dili yaani uwanja mkubwa kabisa. Hivi vikindu ni wapi hukoView attachment 2410912
- NYUMBA INAUZWA..
- VYUMBA VITATU NA SEBULE NA CHOO NDANI
- CHOO CHA NJE PIA KIPO
- VYUMBA VITATU UKUBWA WA 10 KWA 12
- KIMOJA 10 KWA 16
- NYUMBA INA UKUBWA WA 29 KWA 20
- NA KIWANJA NI 55 KWA 45
- MIUNDO MBINU NI MIZURI GARI INAFIKA MPK SITE
- ENEO - VIKINDU KARIBU NA SOWETO
- BEI MILIONI 16
- 0656 602561
- 0656 932934
- KARIBUNI NYOTE 🙏
Dar es SalaamDah bonge la dili yaani uwanja mkubwa kabisa. Hivi vikindu ni wapi huko
Uelekeo gani, bagamoyo road, mororogoro road au kilwa roadDar es Salaam
Kilwa RoadUelekeo gani, bagamoyo road, mororogoro road au kilwa road