Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani cha pesa?

Iwe kwa matofali ya block au kuchoma
 

Attachments

  • FB_IMG_1653897472310.jpg
    55.9 KB · Views: 93
  • FB_IMG_1653897466074.jpg
    49.8 KB · Views: 88
Bila bati tofari block mil 4-6 kutokana na bei ya tofari.
 
Bila bati tofari block mil 4-6 kutokana na bei ya tofari.
4-6 anaifikisha level gani ?
Mi namshauri kama ni kujenga aanze na alichonacho polepole kusubiri ela ya mkupuo na sio mtu wa mishe za ela ndefu hatajenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…