Consolata2000
Member
- Apr 13, 2013
- 40
- 4
Mambozz
kwa wenye utalamu wa ujenzi, nyumba kama hii naweza jenga kwa shilingi ngapi? Kiwanja ninacho kibaha na nataka niijenge kwa kutumia vifaa vya bei ya chini kama mabati yale ya rangi, sio gypsum, tiles za chini za kawaida n.k. Nyumba hiyo ina vyumba 4 vya kulala.