INAUZWA nyumba ,kiwanja nyumba ya kupangisha

INAUZWA nyumba ,kiwanja nyumba ya kupangisha

karibu ni sana kwa mahitanji ya
nyumba za kupanga
kununua au kuuza viwanja
kununua au kuuza nyumba office ipo hakuna ubabaishaji wala utapeli
piga simu Call Us:+255 755-181222.
tembelea hapa kila siku tunaweka vitu vipya Call Us:+255 755-181222. Emailinfo@bryanstonproperties .https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwiKjfuyl5HQAhWGExoKHcmnDt8QFgg_MAA&url=http://www.bryanstonproperties.co.tz/&usg=AFQjCNEEkkKTURKJ6I6ohXqwyO7t4BLNLg&sig2=6zROT5sng219MEm_6Nk-hQ&bvm=bv.137904068,d.d2s
Miss Natafuta we nomer, umeamua kuwa dalali mtu wangu? Hongera sana.
 
mimi sio dalali mkuu tuna kampuni kabisa imesajiliwa karibu officini kwetu tukuhudumie ufurahi
Ahaaa, kumbe mna majengo yenu kabisa? Nilijua ni nyie ni broakers...ntakaribia mkuu, ntahitaji apartment ya vyumba viwili kkoo kuanzia may next year.
 
Ahaaa, kumbe mna majengo yenu kabisa? Nilijua ni nyie ni broakers...ntakaribia mkuu, ntahitaji apartment ya vyumba viwili kkoo kuanzia may next year.
ni broker ila in a professional way
cheki website yetu tuna office hadi risit za mashine tunatoa
 
Vyumba ktk nyumba za NHC vinapatikana?
 
Back
Top Bottom