INAUZWA nyumba ,kiwanja nyumba ya kupangisha

Miss Natafuta we nomer, umeamua kuwa dalali mtu wangu? Hongera sana.
 
mimi sio dalali mkuu tuna kampuni kabisa imesajiliwa karibu officini kwetu tukuhudumie ufurahi
Ahaaa, kumbe mna majengo yenu kabisa? Nilijua ni nyie ni broakers...ntakaribia mkuu, ntahitaji apartment ya vyumba viwili kkoo kuanzia may next year.
 
Ahaaa, kumbe mna majengo yenu kabisa? Nilijua ni nyie ni broakers...ntakaribia mkuu, ntahitaji apartment ya vyumba viwili kkoo kuanzia may next year.
ni broker ila in a professional way
cheki website yetu tuna office hadi risit za mashine tunatoa
 
Vyumba ktk nyumba za NHC vinapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…