Kiwanja na Nyumba ya Vyumba Vitatu vinauzwa!!!!! Ukubwa wa eneo 23x25m Nyumba ya vyumba vitatu Eneo- Kimara Kilungule Dar Maeneo ya Darajani. Hakina Mgogoro Bomba la Dawasco limepita Jirani. Mita 200 barabara ya Vumbi na Km2.5 Kutoka Morogoro Road, Bei 15.3Milion. Maongezi yapo. Unaruhusiwa Kuja Kukiona Kabla Ya Kulipia. Kwa Aliyeko Serious Mawasiliano #0719786098 #0656763048 au mwananchikweli@gmail.com Picha zaidi unaweza zipata News4timeblog.com