House4Rent NYUMBA kubwa INAUZWA kwa BEI nafuu.

House4Rent NYUMBA kubwa INAUZWA kwa BEI nafuu.

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Nyumba inapatikana wilaya ya ilala.
Eneo ni Kivule (msongola)
Njia unapitia KITUNDA
Ina vyumba vitatu (1self contained)
Ina jiko, sebule, na public washroom.
Eneo LA kiwanja ni 25*22 (meter)
Umeme na maji vipo karibu.

Bei: 12m

Mawasiliano: 0785 857564




IMG-20190813-WA0068.jpeg
IMG-20190813-WA0067.jpeg
IMG-20190813-WA0070.jpeg
 
Hongera mkuu ila kwa ufanisi wa lugha sidhani kama hapo neno sahihi ni nyumba.... au ongezea neno haijaisha....
 
Neno sahihi ulistahili uandike PAGALA na sio nyumba. Nyumba unaijua unaiskia. Unisamehe
 
Back
Top Bottom