NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
Fuata muongozo huu mtoa tangazo.Ongeza Taarifa
Eneo, Mkoa, Wilaya, Kata, Tarafa, Kijiji, Kitongoji
Tshs Ngapi?
Vitu Vingine Havina Ulazima Upigiwe Simu.
Watoa matangazo wa humu nafikiri huishia kwenye level hii hii kukua kwao ni ngumu.Ongeza Taarifa
Eneo, Mkoa, Wilaya, Kata, Tarafa, Kijiji, Kitongoji
Tshs Ngapi?
Vitu Vingine Havina Ulazima Upigiwe Simu.
Jamani hii nyumba ndio iwe milioni 200? Punguza bei kidogo. Hata kama iko Masaki, hiyo bei ni kubwa sana.Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo.
Simu.0652180400
View attachment 2257065
Ipo Mbande KISEWE.DarJamani hii nyumba ndio iwe milioni 200? Punguza bei kidogo. Hata kama iko Masaki, hiyo bei ni kubwa sana.
Sorry.iko Mbande KISEWE Dar. Bei ni 23milionWatoa matangazo wa humu nafikiri huishia kwenye level hii hii kukua kwao ni ngumu.