INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

Abuu Joha

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
8
Reaction score
0
Nyumba ni ya zamani sana ina vyumba vinne, Ina eneo lisilo pungua 500sqm. Ni nyumba ya familia.

Kwa mawasiliano: 0743244734

IMG-20230624-WA0014.jpg
 
Imepimwa?
Je ni ya urithi?
Inafikika kwa Gari?
Bei?
Weka wazi hivyo vitu
 
Huko ndiko alikokuwa anaishi yule mtafsiri movie Derrick Mkandala aka Lufufu Mwambeija kanyampalile
 
Mtoa mda hicho ni kiwanja tu chenye gofu. Hakuna nyumba kuukuu hapo.
 
mazingira yapo hivyo ndugu siwezi sema uongo, ukihisi utakuwa comfortable na hayo mazingira karibu sana tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom