Nyumba kwa wageni

Nyumba kwa wageni

majiyashingo

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
44
Reaction score
2
Jamani habari zenu
Naomba kusaidiwa juu ya hili swala naona humu kuna wataalmu mbalimbali.Tunajua kwamba Tanzania hakuna sheria inayoruhusu mwananchi au mgeni kununua ardhi moja kwa moja ardhi ni mali ya Taifa na kila mtu ana leese kwa miaka 99.Je raia wa nje ambao wanataka kununua nyumba lakini si wawekezaji wanaangua kwenye categori gani

Natanguliza
 
Back
Top Bottom