SOLD: Nyumba maeneo ya Mjini Kati inauzwa

Status
Not open for further replies.

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
12,039
Reaction score
11,822
Nyumba inauzwa eneo ni Keko kilometer chache kuelekea ama kutoka mjini (city center), yaani kutoka hapo kuelekea Kariakoo kwa miguu ni dk 10-15 pia kuelekea posta ni 15-20.

Ina vyumba sita na sitting room

Gharama ni 18M

Mawasiliano zaidi 0692449416

 

Attachments

  • 20220713_115134.jpeg
    35.1 KB · Views: 18
Mkuu 18 millions hakuna mgogoro kweli au hakuna njia za kuingia hadi hapo nyumbani kwa gari maana kwa location na bei inatia wasiwasi
 
Mkuu 18 millions hakuna mgogoro kweli au hakuna njia za kuingia hadi hapo nyumbani kwa gari maana kwa location na bei inatia wasiwasi
Hakuna migogoro mkuu, ila hakuna njia za kuingia gari
 
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…