dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Hahaha oky Sawa mkuu, naomba unichk whatsp nikutumie picha zaidiHebu Rudi kapige vizuri hizo picha. Kisha zilete hapa,. Tafuta mpiga picha. Usitumie simu ya techno tafadhali. Nahitaji kuona vizuri.
Hapana mkuu barabara haiuzwi tunauza plot na hizo nyumba unazozionaUnauza barabara au
nyumba zinaonekana nyigi sana, na kunachouzwa hata hakionekaniHapana mkuu barabara haiuzwi tunauza plot na hizo nyumba unazoziona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nyumba zote zinazoonekana ziko kwenye compaund moja na zote zinauzwa kwa pamoja mkuunyumba zinaonekana nyigi sana, na kunachouzwa hata hakionekani
Nyingine unazoziona ziko kwenye msingi bado hazijakamilika kuwa nyumba mkuu.karibu eneo husika ujioneewenyewe kwani biashara hii si kifichoUmesema nyumba mbili, hapo umeweka picha za nyumba mia na haijulikani ipi inayouzwa
Sent using Jamii Forums mobile app