apartments
Member
- Jun 7, 2013
- 16
- 1
nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala.
nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni selfu,kuna public toilet na bath room,kitchen,store,sitting room na dining room,kuna vibaraza viwili mbele na nyuma kama zinavyoonekana kwenye picha.
Nyumba ya pili ina vyumba viwili kimoja ni selfu,public toilet na bath room,kitchen,sitting na dining room,vibaraza viwili mbele na nyuma kama zinavyoonekana kwenye picha,
kwa mawasiliano piga 0787021882 hakuna dalali nyumba ni mpya kabisa hazijawahi kupangishwa, bei ni 300,000 kwa 200,000.
nyumba zote zina mabati ya south Africa,madirisha ya alminium,gipsum .tiles ndani na nnje.