House4Sale Nyumba mbili zinauzwa dodoma mjini

Joined
Jan 18, 2017
Posts
77
Reaction score
12
Nyumba mbili mpya za kisasa vyumba vinne kimoja master jiko sebule na store room..ukubwa wa eneo ni 25*30 viwanja vime pimwa na vina hati..milango na madirisha ya grill tayari.
Nyumba moja ina fence..na nyingine haina fence
Zipo Nkuhungu chama
Bei: 30 million ambayo haina fence na 35 million yenye fence
Kwa picha watsapp au maelezo piga 0714140579


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…