dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Bosi makosa kwenye utumaji picha sorry kama picha itakuwa imekutishaHiyo nyumba yenye fulana nyeusi shilingi ngapi?.
Hahaaaahaaaaa....Bosi makosa kwenye utumaji picha sorry kama picha itakuwa imekutisha
Pamoja sana mkuu najua ni utani tu wala usijali tuko pamojaHahaaaahaaaaa....
Ni utani tu mkuu,kila kheri kwenye biashara yako.
Hiyo nyumba yenye tisheti nyeusi paa lake nimelipenda...