House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Banana, Kitunda (kodi elfu 80)

House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Banana, Kitunda (kodi elfu 80)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
NYUMBA inapatikana maeneo ya KITUNDA
Ina chumba kimoja, sebule na choo ndani.

Kutoka Banana unapanda gari za KITUNDA
Ina tiles na gypsum
Mazingira mazuri
Maji na umeme unajitegemea
Kodi kwa mwezi ni tzs 80,000/ (×6)

MAWASILIANO: 0785 857564

IMG-20190307-WA0011.jpeg
IMG-20190307-WA0014.jpeg
IMG-20190318-WA0035.jpeg
IMG-20190318-WA0036.jpeg
IMG-20190318-WA0037.jpeg
IMG-20190318-WA0034.jpeg
IMG-20190307-WA0012.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba nzuri, bei nafuu ila hiyo sebule labda uwe na makochi dizaini ya siti za dala dala ndio zitaingia hapo... Ukiwa na masofa, labda liingie moja!
 
Nyumba nzuri, bei nafuu ila hiyo sebule labda uwe na makochi dizaini ya siti za dala dala ndio zitaingia hapo... Ukiwa na masofa, labda liingie moja!
Mkuu NYUMBA za kupanga ni za kupita tu, ukiwa na kwako naamini ndio unakuwa flexible kwa structure ya NYUMBA unayotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kufanya usafi kabla hujatuma picha.

Chupa zimesambaa, mamipila ndani halafu nyumba hujapapendezesha.

Ni ushauri tu mimi kama mmiliki wa nyumba pia natoa wazo.
 
Mkuu NYUMBA za kupanga ni za kupita tu, ukiwa na kwako naamini ndio unakua flexible kwa structure ya NYUMBA unayotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, ijapokuwa ni nyumba za kupanga, ila wenye nyumba wanatakiwa waendane na hali ya sasa (kubadilika kulingana na mazingira), walau mlango uwe mkubwa ikishindikana 100, but mostly, weka 120 upana iwe milango ya double, kunakuwepo na urahisi wa kuingiza vifaa kama makochi, friji nk. Hili lipokelewe kama changamoto.
 
Umesahau kufanya usafi kabla hujatuma picha. Chupa zimesambaa, mamipila ndani halafu nyumba hujapapendezesha. Ni ushauri tu mimi kama mmiliki wa nyumba pia natoa wazo.
[emoji1787][emoji1787] ilinibidi nirudi Tena kukagua Tena hizo picha
 
Karibuni, moja ipo wazi
 
Back
Top Bottom