Hakika umenena mkuu.Nyumba nzuri, bei nafuu ila hiyo sebule labda uwe na makochi dizaini ya siti za dala dala ndio zitaingia hapo... Ukiwa na masofa, labda liingie moja!
Mkuu NYUMBA za kupanga ni za kupita tu, ukiwa na kwako naamini ndio unakuwa flexible kwa structure ya NYUMBA unayotaka.Nyumba nzuri, bei nafuu ila hiyo sebule labda uwe na makochi dizaini ya siti za dala dala ndio zitaingia hapo... Ukiwa na masofa, labda liingie moja!
Sawa mkuu!Umesahau kufanya usafi kabla hujatuma picha. Chupa zimesambaa, mamipila ndani halafu nyumba hujapapendezesha. Ni ushauri tu mimi kama mmiliki wa nyumba pia natoa wazo.
Kuna wengine wakija wanalia bei kubwa.Duh mbona bei ndogo sana
Hapana mkuu, ijapokuwa ni nyumba za kupanga, ila wenye nyumba wanatakiwa waendane na hali ya sasa (kubadilika kulingana na mazingira), walau mlango uwe mkubwa ikishindikana 100, but mostly, weka 120 upana iwe milango ya double, kunakuwepo na urahisi wa kuingiza vifaa kama makochi, friji nk. Hili lipokelewe kama changamoto.Mkuu NYUMBA za kupanga ni za kupita tu, ukiwa na kwako naamini ndio unakua flexible kwa structure ya NYUMBA unayotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah watu mna maneno kichizi yaanNyumba nzuri, bei nafuu ila hiyo sebule labda uwe na makochi dizaini ya siti za dala dala ndio zitaingia hapo... Ukiwa na masofa, labda liingie moja!
Akupe!?? Mwenzio anapangisha hatoi bureMkuu, nipe hiyo nyumba yako tafadhari
[emoji1787][emoji1787] ilinibidi nirudi Tena kukagua Tena hizo pichaUmesahau kufanya usafi kabla hujatuma picha. Chupa zimesambaa, mamipila ndani halafu nyumba hujapapendezesha. Ni ushauri tu mimi kama mmiliki wa nyumba pia natoa wazo.
Karibuni, moja ipo wazi