House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea

House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Nyumba inapatikana Tabata Segerea (karibu na stand)
Umbali kutoka lami ni meter 150 na dakika 3-5 mpaka stand ya Segerea.
Nyumba ni mpya kabisa.

Nyumba ni ghorofa moja

1. UPANDE WA CHINI
kuna vyumba viwili (kimojawapo ni master), jiko, store, sitting room na public toilet.
Full tiles gypsum na slides windows (aluminum)
Kodi 400k kwa mwezi

2. UPANDE WA JUU
kuna vyumba vitatu vyote ni master bedrooms. (Havina sitting room)
Kodi 130k kwa mwezi.
N.b mazungumzo na mwenye nyumba yapo kwa wahitaji. (Bei sio fixed)

Info: 0756 832833
Kwa picha zaidi na Maelezo husika.

View attachment 958146View attachment 958145

IMG_20181206_171202.jpeg
IMG_20181206_170914.jpeg
IMG_20181206_170934.jpeg
IMG_20181206_171226.jpeg
IMG_20181206_171523.jpeg
IMG_20181206_171519.jpeg
IMG_20181206_171528.jpeg
 
Chumba master, sitting room, sehemu ya jiko.
Full tiles, gypsums, aluminum windows
Tabata Segerea kwa mbele kidogo
150k (kwa mwezi)
 
Nikitaka yote juu na chini vp nalipa ngapi
 
Back
Top Bottom