House4Rent Nyumba mpya na ya kisasa inapangichwa Mbezi njia panda ya Goba na Makabe

House4Rent Nyumba mpya na ya kisasa inapangichwa Mbezi njia panda ya Goba na Makabe

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nyumba ni nzuri na ya kisasa, kila kitu kipo kinachofanya iitwe ya kisasa, uzio mkubwa na amani kwa sana, vyumba vitatu vya kulala kimoja master, jiko kubwa lenye makabati, dining, sebule kubwa, pia ina bustani kubwa na nzuru ya maua, bila kusahau standby Generator umeme ukikatika goma linajiwasha, pia nyumba ina mabanda makubwa ya kuku kama unataka unafuga kikubwa uwe msafi, bei ni 500,000 kwa mwezi na inalipwa kwa miezi 6:
Kama utahitaji nichek kwa 0684448888 au 0713415537

Pia wanaohitachi chumba, nyumba nyingeni karibuni pitieni hapo chini!

Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi - JamiiForums
20181015_005924.jpeg
20181015_005847.jpeg
20181015_005905.jpeg
20181015_005942.jpeg
20181015_010000.jpeg
20181015_010017.jpeg
20181015_010041.jpeg
 
Laki tano kodi tuu bado hujalipa umeme na maji...!!! Fanya laki 3.5
3.5 mwenye nyumba hachukui, na anaepanga bei ni mwenye nyumba mkuu, Ila pia za 3.5 zipo zipo mkuu so usihofu za budget yapo zipo, ila hiyo ni 500k
Kila mtu anapanga kulingana na mfuko wake mkuu! kuna zingine za 1M na zina watu mkuu
 
Aah wapi, hapo nyie madalali ndo mnampangia mwenyewe nyumba ili chenu cha juu kiwe kingi. Mna roho mbaya sana nyie watu
 
Unategemeaje nitafanya informed decision nije kuangalia nyumba wakati picha za ndani haunazo? Haupo professional unatafuta hela ya kula tu wewe.
Mkuu kama haupo serious potezea! eti unatafuta pesa ya kula wewe unatafuta pesa ya kunya? sinaga shida na hizo pesa za mguu, ndio mana hata nikiweka tangazo hapa sisemagi pesa za kwenda kuona nyumba, means ni maelewano yetu, pitia page zote za matangazo ya nyumba iwe hapa au instergram, zoom au page zote za matangazo ya nyumba, utaona wameweka kwenda kuona nyumba ni kuanzia 15k wengine 20k, hope wateje wangu wanalijua hilo ambao nilishawapiatia nyumba, nashangaa sana kwa kuanza kulalamika mapema! hujaona namba hapo? haupo serious! hivi kweli nimekuambia nauli, na hapa ni lipo hata 2000 haifiki inakutoa kamasi utaweza kweli kulipa 500k kwa mwezi *6 ambayo ni 3M, hahaa si itakutoa nanilii na utumbo kabisa? Sema kama huna nikutumie boda boda aje akuchukue nikupeleke ukaone bure, nikupe na nauli ya kurudi na ya usumbufu!
 
Wee pumbaavu. Nani aje kuangalia nyumba wkt picha za ndani huna? Shida gani kuweka hizo picha? Unataka watu waje kwa wingi kwa kuvutiwa na mandhari ya nje tu ili uwachaji pesa ambazo hadi sasa umeshindwa kutaja ni kiasi gani. Weka tangazo lenye picha za ndani na nje, siyo unaleta blah blah maneno meengi. Picha gani sasa hizo umebandika? Ulikuwa unazipiga kwa kuibia naona.
 
Aah wapi, hapo nyie madalali ndo mnampangia mwenyewe nyumba ili chenu cha juu kiwe kingi. Mna roho mbaya sana nyie watu
Hapana mkuu, hua hatuangaliagi cha juu, tunaangalia ya mwezi, mimi nipo radhi niungane na mteja hiyo nyumba mwenye nyumba hata achukue 300k nipate changu, unadhani hiyo nyumba ina dalali mmoja? hivi mm nikomae na 500k alafu nyumba ni 300k si ujinga? biashara ya upangaji wa nyumba nitofaut ya ya uuzaji wa nyumba au wa viwanja!
 
Wee pumbaavu. Nani aje kuangalia nyumba wkt picha za ndani huna? Shida gani kuweka hizo picha? Unataka watu waje kwa wingi kwa kuvutiwa na mandhari ya nje tu ili uwachaji pesa ambazo hadi sasa umeshindwa kutaja ni kiasi gani. Weka tangazo lenye picha za ndani na nje, siyo unaleta blah blah maneno meengi
Maneno yako inaonyesha ni mtu gani! Hua mtu anaeweza kupanga nyumba angalau hata ya 100k kwa mwezi hawezi kuongea kama ww, mkuu toka kwa shemeji pana hata chumba cha 10k..
 
Comments za huyu jamaa kwenye threads za watu inaonyesha jins gani alivyo! kisirani majungu, kuponda! utoto mwingi.. hakuna mteja hapo!
20181015_190625.jpeg
20181015_190535.jpeg
20181015_190411.jpeg
 
Unategemeaje nitafanya informed decision nije kuangalia nyumba wakati picha za ndani haunazo? Haupo professional unatafuta hela ya kula tu wewe.
ninaelekea jamaa ni wazamani mshale unaelekea magharibi ndio mana stress kibao,
Screenshot_20181015-191221.jpeg
 
ninaelekea jamaa ni wazamani mshale unaelekea magharibi ndio mana stress kibao,View attachment 899069
Yote hii sababu huna picha za ndani za hiyo nyumba au hutaki kuziweka? Hata hizo picha za nje ulizoweka ni tata na haziendani na maelezo yako eti nyumba ipo pekee ndani ya geti. Kama ulikuwa hujui, hii Inaitwa "ad hominem" trick. Nilitegemea ungesema subiri, nitazibandika muda si mrefu. Ukweli ni kwamba unataka elfu 10 ya kiurahisi kudanganya kuonyesha nyumba watu unajua hawarudi wakiona mazingira ya ndani ya hiyo nyumba.
 
Back
Top Bottom