House4Rent Nyumba mpya na ya kisasa inapangiswa kimara mwisho!

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya haijawahi ishi mtu, ipo kimara mwisho umbali wa 1.8 km kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu ndani ya uzio na kila moja inajitegemea maji na umeme, maji ya dawasco yapo! Kodi ni 250,000 kwa mwezi na ilipwe kwa miezi 6.

kama itakuvutia nicheki kwa 0684448888 au 0713415537

pia sio hizo tu zipo nyungine karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20180831_205439.jpg
    10.7 KB · Views: 34
  • 20180831_205514.jpg
    19 KB · Views: 32
Hongera sana kwa mmmiliki kubuni biashara nzuri isiyouumiza kichwa. Kila lakheri
 
Vijumba vizuri. Jamani kujenga nyumba kama hiyo moja ni milioni ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…