Nyumba inapatikana Kibaha kwa mfipa (2km kutoka Morogoro road)
MAELEZO:
nyumba ina vyumba vinne (4) vyote ni self-contained.
Ina sebule, jiko, store na public toilet.
Eneo la kiwanja ni sqm 2000
(Kiwanja kina hati)
Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme, barabara n.k)
Bei: 110m
Mawasiliano: 0785 857564