House4Sale Nyumba mpya za finishing zinauzwa Dodoma

Joined
Jan 18, 2017
Posts
77
Reaction score
12
Sallam wakuu..poleni na majukumu ya wiki..tumerudi tena na mzigo mwingine wa nyumba.Nyumba zipo kisasa dodoma na Area D Dodoma mjini barabara..maji. na umeme ni uhakika na nyumba zina hitaji finishing tuu ..nyumba moja ina fence na nyingine haina fence..milango na grill yamewekwa bati msouth..ukubwa wa viwanja ni 30*20..bei ni million 40 kwa yenye fence na million 35 haina
fence..kwa maelezo 0714140579
 
Awamu hii lazima tushike adabu, kama nyumba inafikia hapo mtu anakosa pumzi ya kumalizia.
Inasikitisha
Kila la kheri upate mnunuzi
 
Awamu hii lazima tushike adabu, kama nyumba inafikia hapo mtu anakosa pumzi ya kumalizia.
Inasikitisha
Kila la kheri upate mnunuzi

Sio kila wakati inaweza kuwa hivyo !! Wengine hiyo ni mojawapo ya biashara !!!
 
nafikir uzito wa nYumba upo kwenYe finishing na sio kunyanyua boma sasa mtu kununua alaf amalizie finishing wat a handsome real estate strategy
 
Ujatamka Vitu muhimu kama vyumba vingapi,choo,master,hati
 
Awamu hii lazima tushike adabu, kama nyumba inafikia hapo mtu anakosa pumzi ya kumalizia.
Inasikitisha
Kila la kheri upate mnunuzi
kaka hiyo ni biashara siku hizi yeye kama katumia 25M akikuuzia 35 anahasara gani, fikiri kibiashara zaidi
 
kamata 20mil
 
kamata 25M boss
 
Awamu hii lazima tushike adabu, kama nyumba inafikia hapo mtu anakosa pumzi ya kumalizia.
Inasikitisha
Kila la kheri upate mnunuzi
Kuna mahali amesema amekosa pumzi ya kumalizia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…