House4Sale Nyumba mpya za finishing zinauzwa Dodoma

Wandugu top kabisa nyumba million 30 haishuki chini ya hapo ambayo haina fence..kiwanja maeneo hayo ni m 15 jamani je kunyanyua boma na kupaua na kuweka grill..nadhan its a fair price ndugu zangu
 
Wandugu top kabisa nyumba million 30 haishuki chini ya hapo ambayo haina fence..kiwanja maeneo hayo ni m 15 jamani je kunyanyua boma na kupaua na kuweka grill..nadhan its a fair price ndugu zangu
dodoma mitaa gani ?how many km from town? access ya umeme na maji vp?
 
Mkuu hizo bati sio Msouth kama ulivyosema, anyway lkn nyumba ni nzuri subiri wanunuzi waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…