Habari wanajukwaa,
Nyumba zinapatikana Kitunda
Karibu na shule ya secondary tumaini
Apartment bado ni mpya kabisa.
Huduma ya maji, umeme na usalama ni wa kutosha.
✓ apartments zipo 4
✓ Kuna zenye chumba kimoja master, sebule na open kitchen
Hii Kodi ni 120k kwa mwezi
✓ na nyingine mbili Zina vyumba viwili vyote ni master. Na open kitchen ya kisasa
Hizi ni 250k kwa mwezi
Maji na umeme unajitegeme