swahibu ramadhani Member Joined Apr 30, 2021 Posts 49 Reaction score 28 Jul 30, 2021 #1 Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jul 30, 2021 #2 Ungewawekea sketch map wataalam watiririke ila room m 4 ni bonge la room kubwa sana
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 30, 2021 #3 swahibu ramadhani said: kuamia.. Click to expand... Ni kufukuza ndege waliovamia shamba la mpunga a mazao mengine
swahibu ramadhani said: kuamia.. Click to expand... Ni kufukuza ndege waliovamia shamba la mpunga a mazao mengine
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Jul 30, 2021 #4 Mafundi wa ujenzi njoni mtoe msaada kwa mdau. Kwa muundo huo wa nyumba nafikiri gharama haiwezi kuwa kubwa sana. Haya maramani ya kisasa yanafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa sana.
Mafundi wa ujenzi njoni mtoe msaada kwa mdau. Kwa muundo huo wa nyumba nafikiri gharama haiwezi kuwa kubwa sana. Haya maramani ya kisasa yanafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa sana.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 30, 2021 #5 1.5m inatosha kabisa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 30, 2021 #6 joshua_ok said: 1.5m inatosha kabisa Click to expand... Uongo
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 30, 2021 #7 bila kuweka ramani hapa itakua ni biashara kichaa
Crumpy Crumper JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,348 Reaction score 3,305 Jul 30, 2021 #8 Mita 4 ni Futi 12 hizo mzee, hivyo ni bonge la MCHUMBA yaani