House4Sale Nyumba na hekari 4 vinauzwa

House4Sale Nyumba na hekari 4 vinauzwa

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Nyumba yenye chumba cha kulala, sitting room, choo, jiko imepauliwa nusu na kuna mtu anaishi kwa uangalizi ikiwa na eneo la heka nne, inauzwa mil.15.

MAJI, MCHANGA, KOKOTO, MAWE VIPO VYA KUTOSHA, ni mpakani mwa kibaha na kisarawe na ni center barabarani, si pori eneo unaweza kuwekeza maduka,zahanati,makazi nk.

Barabara inapta toka kongowe ya kibaha mpaka chanika,kisarawe moja kwa moja, kutoka hapo kongowe ya kibaha mpaka huku kwa pikipiki unatumia lita moja tu..

PIGA 0764726071 AU 0624078252
 
HAKUNA DALALI MI NDO MMILIKI HALALI.
 
aisee ningekuwa na hizo hela ningekuja kununua daaah
 
Nyumba yenye chumba cha kulala, sitting room, choo, jiko imepauliwa nusu na kuna mtu anaishi kwa uangalizi ikiwa na eneo la heka nne, inauzwa mil.15.

MAJI, MCHANGA, KOKOTO, MAWE VIPO VYA KUTOSHA, ni mpakani mwa kibaha na kisarawe na ni center barabarani, si pori eneo unaweza kuwekeza maduka,zahanati,makazi nk.

Barabara inapta toka kongowe ya kibaha mpaka chanika,kisarawe moja kwa moja, kutoka hapo kongowe ya kibaha mpaka huku kwa pikipiki unatumia lita moja tu..

PIGA 0764726071 AU 0624078252
Kwahiyo hapo sehemu panaitwaje ...........na unajua kuwa lita moja inatembea karibu au zaidi ya kilometa 50 au huo ndio umbali wake ??
 
hazfk km 50 ww, pia lazma uzngatie unatumia pkpk yny ubora gani, hiyo lita n kwa pkpk yng ambayo ina miaka 2.4 haimaansh yanaisha pia ukienda petro station mara nyng n lazma uweke kuanzia lita 1,PANAITWA MUSESE, mi naish goba huwa natoka huku musese saa 1 USKU nafka goba saa 3 usku hapo nmepanda daladala..kama unadhan mbali tafuta huko viwanja vya 20F + 20F kwa mil 6-12 WATU HUKU WAMEKAMATA SITE,AFTER 2yrs utataka eneo utakuja hukuhuku ndo utauziwa 20+20f mil 5 na utanunua. asante
 
  • Thanks
Reactions: MC7
houz 3.jpg
 
ENEO NI TAMBARALE LOTE, TOFARI HUKU WANAFYATUA interlocking,na zpo za kuminya wanachanganya udongo na cement after 4 hrs unabeba unajengea na za block pia wanafyatua, mchanga lori moja elf 40,kokoto lori 120K. MAJI BURE KUNA BWAWA,NA VISIMA VYA ASILI, PIA KUNA JAMAA ANA GREEN HOUSE HUKU KACHIMBA KISIMA KIREFU ANAUZA NDOO 100 NI JIRAN HAPAHAPA,NA HAYANA CHUMVI.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
hazfk km 50 ww, pia lazma uzngatie unatumia pkpk yny ubora gani, hiyo lita n kwa pkpk yng ambayo ina miaka 2.4 haimaansh yanaisha pia ukienda petro station mara nyng n lazma uweke kuanzia lita 1,PANAITWA MUSESE, mi naish goba huwa natoka huku musese saa 1 USKU nafka goba saa 3 usku hapo nmepanda daladala..kama unadhan mbali tafuta huko viwanja vya 20F + 20F kwa mil 6-12 WATU HUKU WAMEKAMATA SITE,AFTER 2yrs utataka eneo utakuja hukuhuku ndo utauziwa 20+20f mil 5 na utanunua. asante
Kuna viwanja vya 20F by 20F vinauzwa? Au ulimaanisha 20 Metres?
Unajua 20 Feet ni sawa na 6.1 Metres?

Ila whatever the case, kama ni eneo halali na lisilo na mgogoro, naliona bado ni potential sana na nina hakika utaliuza muda si mrefu.
 
kiongozi angalia humuhumu fb madalali wamekuwa wajanja wanaandka F not M ili ukione ni kikubwa may be uwe unajua f na m ndo utastuka ukfka huko ndo unakuta ni tofauti wanaanza kukushawishi ununue. ENEO HALINA MGOGORO NA HUKU HAKUNA MIGOGORO YA ARIDHI,nilinunua kihalali..na hapa napoandka nipo huku wkend hii kusmamia uuzaji. dalali askanyage hapa.
 
ENEO BADO LIPO HUJACHELEWA KWA YEYOTE YULE, JAPO MPAKA SASA TAYARI KUNA WATU 5 tofauti tofauti wameahidi kuja na kununua eneo nipo eneo la tukio mimi mwenyewe nasimamia show hakuna dalali.
 
Unasimamia show? Hebu madalali acheni uhuni. Ndio unataka mil 15 kwa lugha za kijiweni hiv?
 
sawasawa kabisa, unadhan kila kitu ni cha dalali, tuheshimiane mkuu, kuandka nasimamia show it doesnt mean kwamba huyo n dalali, eneo ni langu nmelinunua miaka 5 imepita,na nna makazi goba nmejenga huko,kama we huna nia ya kununua na c mnunuzi kaa mbali,kama ww ni mnunuzi njoo ukutane na mm mwnyw uone kama kuna dalili za dalali siwez kumkabidhi mali yng dalali sina desturi hiyo,kulingana na eneo lilivyo kama n dalali hawez kuwa mjinga aweke hela kdogo hivyo heka 4 na nyumba mil.15? kwa anayepajua huku hii n hela ndogo sn viwanja vng huku wamekamata watu toka dsm.ENDELEA NA NGONJERA ZAKO ZA DALALI SJUI ULTAKA NISEME MIL.1 ndo udhan c udalali, na nnahisi ww ni dalali hupati kitu hapa,mmezoea kula vya bure uzuri wa aridhi kadri inavyokaa na thaman ndo inapanda sina njaa..
 
Mbona unajichanganya yawezekana kweli we Dalali katika ubora wako. Mara huna njaa, Mara kukaa kinapanda bei, sasa unauza cha nini kama huna njaa siuche kipande bei. Alafu sema unauza shamba sio na nyumba, hiyo nayo nyumba rafiki? Hata laki tano ya ujenzi haifiki, uongo tupige hesabu? Sema nauza shamba basi, sio na nyumba mkuu. Na unapouza kitu chako kuwa mpole usiwe mkali, mim nimenunua heka 5 maeneo hayo 2014 million 8 tena na Dalali.
 
ASANTE KAKA siyo nyumba ni banda tu haifiki hata laki 1. heri yako ww mwenye nyumba,mimi nimebahatika kujenga hilo banda ambalo halifk laki 5 namshukuru MUNGU huo ndo uwezo wng. asante sn kiongozi mwenye nyumba sisi wenye mabanda yanatutosha.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom