Kwahiyo hapo sehemu panaitwaje ...........na unajua kuwa lita moja inatembea karibu au zaidi ya kilometa 50 au huo ndio umbali wake ??Nyumba yenye chumba cha kulala, sitting room, choo, jiko imepauliwa nusu na kuna mtu anaishi kwa uangalizi ikiwa na eneo la heka nne, inauzwa mil.15.
MAJI, MCHANGA, KOKOTO, MAWE VIPO VYA KUTOSHA, ni mpakani mwa kibaha na kisarawe na ni center barabarani, si pori eneo unaweza kuwekeza maduka,zahanati,makazi nk.
Barabara inapta toka kongowe ya kibaha mpaka chanika,kisarawe moja kwa moja, kutoka hapo kongowe ya kibaha mpaka huku kwa pikipiki unatumia lita moja tu..
PIGA 0764726071 AU 0624078252
Kuna viwanja vya 20F by 20F vinauzwa? Au ulimaanisha 20 Metres?hazfk km 50 ww, pia lazma uzngatie unatumia pkpk yny ubora gani, hiyo lita n kwa pkpk yng ambayo ina miaka 2.4 haimaansh yanaisha pia ukienda petro station mara nyng n lazma uweke kuanzia lita 1,PANAITWA MUSESE, mi naish goba huwa natoka huku musese saa 1 USKU nafka goba saa 3 usku hapo nmepanda daladala..kama unadhan mbali tafuta huko viwanja vya 20F + 20F kwa mil 6-12 WATU HUKU WAMEKAMATA SITE,AFTER 2yrs utataka eneo utakuja hukuhuku ndo utauziwa 20+20f mil 5 na utanunua. asante
ENEO BADO LIPO HUJACHELEWA KWA YEYOTE YULE, JAPO MPAKA SASA TAYARI KUNA WATU 5 tofauti tofauti wameahidi kuja na kununua eneo nipo eneo la tukio mimi mwenyewe nasimamia show hakuna dalali.
Mbona unajichanganya yawezekana kweli we Dalali katika ubora wako. Mara huna njaa, Mara kukaa kinapanda bei, sasa unauza cha nini kama huna njaa siuche kipande bei. Alafu sema unauza shamba sio na nyumba, hiyo nayo nyumba rafiki? Hata laki tano ya ujenzi haifiki, uongo tupige hesabu? Sema nauza shamba basi, sio na nyumba mkuu. Na unapouza kitu chako kuwa mpole usiwe mkali, mim nimenunua heka 5 maeneo hayo 2014 million 8 tena na Dalali.sawasawa kabisa, unadhan kila kitu ni cha dalali, tuheshimiane mkuu, kuandka nasimamia show it doesnt mean kwamba huyo n dalali, eneo ni langu nmelinunua miaka 5 imepita,na nna makazi goba nmejenga huko,kama we huna nia ya kununua na c mnunuzi kaa mbali,kama ww ni mnunuzi njoo ukutane na mm mwnyw uone kama kuna dalili za dalali siwez kumkabidhi mali yng dalali sina desturi hiyo,kulingana na eneo lilivyo kama n dalali hawez kuwa mjinga aweke hela kdogo hivyo heka 4 na nyumba mil.15? kwa anayepajua huku hii n hela ndogo sn viwanja vng huku wamekamata watu toka dsm.ENDELEA NA NGONJERA ZAKO ZA DALALI SJUI ULTAKA NISEME MIL.1 ndo udhan c udalali, na nnahisi ww ni dalali hupati kitu hapa,mmezoea kula vya bure uzuri wa aridhi kadri inavyokaa na thaman ndo inapanda sina njaa..