Plot4Sale Nyumba na kiwanja vinauzwa Madale bei poa

kakamgeni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
241
Reaction score
201
Habarini wanafamilia wenzangu wa Jamii forums, bila shaka ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa letu.

Kama tangazo linavyojieleza hapo juu, nyumba ina jumla ya vyumba 3 vya kulala na choo, iko kwenye uwanja wenye ukubwa wa 29 * 25 Na 23 * 21 jirani na STAND YA MADALE MWISHO. Eneo halina mgogoro wowote na linatambuliwa na serikali ya mtaa.

Bei ni Tsh 13,500,000/= mazungumzo yapo kidogo kwa wale walio-serious na biashara hii. Huduma zote za msingi zipo kama vile umeme, maji, barabara na huduma za kifedha.

Ukitokea kiwanda cha saruji Wazo unapita Mivumoni mpaka kituo cha daladala zinapogeuzia.

Kwa mawasiliano +255 742 15 61 17.
 

Attachments

  • IMG_20190717_162401_8.jpeg
    85.7 KB · Views: 11
Mbona kama kuna chemchem ya maji hapo
Kama kipindi hiki cha kiangazi pako hivyo msimu wa mvua panakuwaje
 
Mbona kama kuna chemchem ya maji hapo
Kama kipindi hiki cha kiangazi pako hivyo msimu wa mvua panakuwaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona kama kuna chemchem ya maji hapo
Kama kipindi hiki cha kiangazi pako hivyo msimu wa mvua panakuwaje
Hakuna chemchem ulikuwa kipindi cha mvua, ingalikuwa kuna chemchem hata hiyo nyumba isingeweza kufika hapo ilipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…