Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Kabisa mkuu, nyumba ni muhimu sana kuliko vitu vingine ikiwemo gari.Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Japan walishaacha kutumia magari kwa sababu za kiafya, ila hawatakaa waache kutumia nyumbaGari
Vipi kama sisi tunapenda V8 tuna laana.Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Utajamiiana vipi juu ya mti sasa!Afya bora ndio kipaumbele… kulala hata juu ya mti utalala..!!
Kwanza hatulali…
Kwani nyie ndege mnajamiana wapi?Utajamiiana vipi juu ya mti sasa!
Afya kwanzaAfya bora ndio kipaumbele… kulala hata juu ya mti utalala..!!
Kwanza hatulali…
Kwenye kiiota, nyinyi binadamu je!Kwani nyie ndege mnajamiana wapi?
Hakuna baba mwenye gariGari
Kiota kipo ndani ya nyumba au juu ya mti?Kwenye kiiota, nyinyi binadamu je!
Una V8 alafu Huna nyumba? Huwa unalala wapiVipi kama sisi tunapenda V8 tuna laana.
Kiota ndiyo nyumba yenyewe.Kiota kipo ndani ya nyumba au juu ya mti?