Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Zamani uchaguzi ulikuwa tunachagua Jembe au nyumba, wagombea wawili wa chama kimoja,ukipewa uchague nyumba kupitia kwa wakulima vijijini ilikuwa kazi kweli kweli!Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Hata tembe ni nyumba si umeambiwa kariakoo wanalala nje kwenye maboksi!Shida sio nyumba, shida ni nyumba gani? Hata tembe nayo ni nyumba.
Upotoshaji wa kiwango cha SGRKujenga nyumba ni ushamba.kula Raha za kutosha maana majumba tutayaacha tu.yaani niache mrembo mkali nihangaike na kujenga?
Hata ukiwa na maghorofa bila familia kazi bureBaraka ya kwanza ni Afya bora, Uzima:
Baraka ya pili ni Ndoa
Baraka ya tatu ni kuzaa watoto
Alafu familia italala wapi?Hata ukiwa na maghorofa bila familia kazi bure
Kweli kabisaHata tembe ni nyumba si umeambiwa kariakoo wanalala nje kwenye maboksi!