Nyumba ndogo acheni makeke mtatufarakanisha na big house

Nyumba ndogo acheni makeke mtatufarakanisha na big house

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Umempokonya mwenzio ukapewa usukani wewe unaanza mbwembwe kisa nimekujengea nyumba unapiga pamba blin blin acha hizo.

Big house naiheshimu au unataka tuachane wewe uwe mmiliki wa kila kitu mpaka mbupu zote?

Cc small house zote humu.
 
Wanaume mnakera, umenunua 4wD eti mke na watoto unwaachia vitz tenacwasiguse gari ya baba. Ukiwa ofisini mchepuko unaruhusiwa kupiga misele town.

Atamheshimu vipi mkeo?
 
Back
Top Bottom