Nyumba ndogo kwangu poa tu

fikirini

Senior Member
Joined
May 24, 2011
Posts
114
Reaction score
22
Hivi jamani, inakuwaje akina baba wanajihalalishia kuwa na nyumba ndogo ili hali wake zao nao wakipata nyumba ndogo wanakuwa wakali kuzidi nyuki waliochokozwa..mi naona wanawake nao wajihalalishie tu nyumba ndogo, yaani kama wanaume walio wengi wanaoendekeza tabia hiyo.:A S 100:
 

Ushauri wako ni mbofu mbofu,unataka haribu ndoa za watu!
 
mmmmhhhh upanga kwa upanga
daahhh naonea huruma familia
sanasana watoto...
 
wakati mwingine ni viruzi kujaribu...just try!
 
tumbafu sako,huo sio ushauri hata wehu hawashauriani kwa mtindo huo
 
al funuuni majunuuni

kila uwendawazimu una fani yake lol
 

wewe boya kweli kweli!..kubwa zima akili kaa bi.mkora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…