Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Tena unajiita mwanaume unakuja kutaka ushauri wa kipuuzi kama huu. unafikiri ni fahari kuwa na nyumba ndogo? Kama mkeo anakushinda nyumba ndogo utaiweza? grow up men?
utaliwa kiboga baba, wewe shabikia tu nyumba ndogo
umeniharibia mood ya kuendelea kushinda JF usiku huu hebu nlale................NA HUU UPUPU NIKIAMKA NISIUKUTE.
Mzee kama wewe umeona ni upuuzi kwango siyo. Nyumba ndogo ndo inanifanya nipunguze stress.
Kama inakupunguzia stress si ungekuwa unajua bao za kupiga wala usingeomba ushauri. inakuongezea stress ndo maana hujui uamue nini!
kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....
unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....
umeniharibia mood ya kuendelea kushinda JF usiku huu hebu nlale................NA HUU UPUPU NIKIAMKA NISIUKUTE.
It's too late now. Unaona sasa matokeo? ungefikiria consequences BEFORE you post.kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....
unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....
Tatizo Boss umewaposha hawa mana inaonyesha sasa idadi ya wana Jf kuwa na nyumba ndogo itaongezeka.
Then umewafanya dada zetu humu wajione wanyonge na wakubali tu kuwa waume zao bila nyumba ndogo z impossible.
My take
usichopenda kufanyiwa na ww usimfanyie mkeo.
Kama hutaki kusalitiwa na ww usisaliti.
What goes around,comes around
Ni mtazamo tu.
It's too late now. Unaona sasa matokeo? ungefikiria consequences BEFORE you post.
kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....
unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....