Nyumba ndogo........


Maneno mazuri sana kuhusiana na pande zote mbili ambayo yamejaa ukweli mtupu.
 
Simpo. Dawa ni kupeana sana, mno, kabisa, every time, mpaka hamu za kwenda huko nje zinakuwa hazipo. Kama huwezi hivyo, utajiju...Huwezi kwenda nje kama huna hamu.

Temea mate chini Kaniki 🙂, umeshasikia msemo wa kipya kinyemi!? Unaweza hata wewe mwenyewe ukabaki unashangaa kutokana na performance yako pamoja na kudhani kwamba 'huna hamu'.
 
Temea mate chini Kaniki 🙂, umeshasikia msemo wa kipya kinyemi!? Unaweza hata wewe mwenyewe ukabaki unashangaa kutokana na performance yako pamoja na kudhani kwamba 'huna hamu'.



mweeee...nyumba ndogo nyingi ni FULL KUPULIZA a.k.a SANGOMAA
 
Hamna kitu hapa bana....!!

Kinachokupa raha ni hela yako mwenyewe...!

Jaribu kwenda ukauze sura kwa huyo nyumba ndogo bila mafao ya uzeeni, uone kama utaendelea kupewa hizo staili za sarakasi! - Meti Onyo!

Hii kitu bana ni saikolojiko zaidi, na inategemea buzi amejeruhiwa kiasi gani huko atokako.

Wakati mwingine hata ukiguswa kidevu tu, utaona kama umeahidiwa Mbingu!

Nyumba ndogo bana, zina teknik sana, na ziko KIBIASHARA 100%. Msijidanganye...!!!!
 

Msanii hapa sijaelewa nyumba ndogo inakula kwa jasho lake??
 


Wanawake nao wanaruhusiwa kubadilisha mboga au ni kwa wanaume tu?- just askin'

Che unataka kusema heshima tunazoziweka ndani ya ndoa zinachangia una maanisha nini? Au unataka kusema kuwa tukishaolewa ndio tunaanza kumheshimu mume?
 
MwanajamiiOne
ugumu upo mahala fulani, kwa kuwa wanaume ndo wanaolalamika kupunguziwa ratio ya mgao wa kumbikumbi hivyo suala la akina mama kubadili mboga ni juu yao kwani inasemekana na ainajulikana kwmaba wanawake ni wasiri mno ndo maana watoto huwa ni wa mama, kwa baba ni jina tu.

Hivyo kabla mume ahajafikiria kubadilisha mboga inawezekana bibie ashakula michuzi aina yote mpaka akakinai..
 
Jamani wanaume huwa watoa weekness pointi za wake zao kwa hao wanawake wa nje, mf. utasikia mwanamume anasema nyumbani sifanyiwe hiki wal hiki so yule wa nje anapata nafasi ya kufanya hivyo, na wanakuwa washindi. WANAUME KUWENI HURU KUZUNGUMZA NA WAKE ZENU NINI MFANYIWE ILI MRIDHIKE. Pili ni kina mama/wanawake pia hawawi huru kueleza waume zao nini wanataka wafanyiwe waridhike. WANAWAKE PIA HUWA WANAONA WANADHALILISHWA MARA TU MUME ANAPOJARIBU KUWA MUWAZI KULEZA NINI ANATAKA, UTASIKIA MKE ANASEMA SITAKI UMALAYA WAKO, UNANIFANYA MIE CHANGUDOA, MARA OOOH HIVYO MIE SIWEZI NA PIA KUJIFANYA UMEMZOEA SANA MUMEO TO THE MAXIMUM NA HAWATAKI KUAPPLY NJIA MPYA KATIKA MAPENZI.
 

Duh kumbe!!

Ila hii dhana ya kina mama kuwa wasiri inatucost wengi. kuna uwezekano kabisa kuwa mkeo ni mwaminifu kwako but kwa vile unaamini kuwa wanawake ni wasiri waweza jikuta umemtreat kama among them cheaters!!
 

Kina baba mpo? Ya kweli haya?

Mwanahawa maneno mazito haya dada, wamjini wanasema maneno yako kintu bibie!!

Kwa hiyo unataka kunambia kuwa tukijitune na kwenda na matakwa ya kina Mr. tutamaliza tatizo hili? Yaani nimfanyie kila akitakacho mume kwa staili apendayo hatatoka nje??
 
Duh kumbe!!

Ila hii dhana ya kina mama kuwa wasiri inatucost wengi. kuna uwezekano kabisa kuwa mkeo ni mwaminifu kwako but kwa vile unaamini kuwa wanawake ni wasiri waweza jikuta umemtreat kama among them cheaters!!
ah we acha tu.
Mnachopaswa kufanya ni kuondoa usiri kwa kuwa wawazi kwani unakuta mwanamke anateswa ktk ndoa anaweka siri ndo maana tunafanya majumuisho kuwa ndivyo wanawake walivyo. Na bibi yangu alishaniambia kuwa wanawake ni wasiri mno wala nisijaribu.

Enewei mbona akina mama wengi wana nyumba ndogo hamsemi ila ngoma mnaipigia kwetu tu?!!!
 
Enewei mbona akina mama wengi wana nyumba ndogo hamsemi ila ngoma mnaipigia kwetu tu?!!!

Mi mbona kuna jimama limeniweka serengeti Boyz na nina jiexpress kama kawa kisawa sawa mzee Msanii full kupumnzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…