House4Sale Nyumba! nyumba! inauzwa bei chee

House4Sale Nyumba! nyumba! inauzwa bei chee

Joined
Oct 9, 2017
Posts
21
Reaction score
7
Habari zenu wanajamvi,

Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la nyumba kuna bonde la kulima kilimo cha mpunga au chochote upendacho.

Kwa aliyekuwa serious anichek 0676 985230
 
Back
Top Bottom