Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Nyumba nzuri inapangishwa Kigamboni umbali wa km 4 kutoka ferry. Nyumba hii ina specifications zifuatazo;
Vyumba 4
Jiko la ndani
Dinning room
Vyoo viwili vya ndani
Parking ya magari 2 au 3
Iko ndani ya fensi
Umeme na maji vipo, kodi ni 250,000 kwa mwezi na inalipiwa kwa miezi sita.
Mwenye Kuhitaji tafadhali karibu PM.
Ngoja nimwambie jamaa yangu aje kuitizama bei ipo reasonable.