mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
NakaziaNi muhimu kuwa na bima ya nyumba...
Nakumbusha tu...
NAKAZIA KWA HERUFI KUBWANakazia
Duu [emoji17]Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.View attachment 2676505
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.View attachment 2676506
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Nakulilia KyelaNdivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.View attachment 2676505
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.View attachment 2676506
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Poleni sana wahanga. Pamoja na yote, mna nafasi ya kufidiwa na TANESCO kama chanzo cha moto kimetokana na mfumo wa umeme. Najua wiring ya ndani haiwahusu TANESCO, ninachotaka kusema ni kuwa msiishie hapo kuona yashatokea basi ndio imeisha. Tulieni, zimamoto watoe taarifa ya chanzo cha moto na ripoti ikitoka mnitafute kwa 0713368153 tushauriane njia ya kwenda. Kama ni fidia, tudai, kama nyumba haikua na umeme basi acha polisi wapambane nayo.Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.View attachment 2676505
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.View attachment 2676506
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana