dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
mmepunguza imekua ngap
Mwenyewe anataka bei gani?
hiyo kwa tisini naweza kufikiria kutoa lakini siyo hiyo bei nyingine haiko halisi285m na maongezi yapo mkuu..karibu sana
Wazee wakulenga Shida hio Milion 90 si bei ya kiwanja Kwa Sinzahiyo kwa tisini naweza kufikiria kutoa lakini siyo hiyo bei nyingine haiko halisi
Mkuu kwa sasa ndani kuna mpangaji kwahyo hatuwezi kutuma picha za ndani ila kama uko serious ungekuja kuona kabisaBei kubwa sana hiyo,weka picha za ndani tuone?