Bei ni laki 8 ( laki nane) kwa mwezi maongezi yapo na malipo niya miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Chumba kimoja ni master ( master bedroom)
Ina sebule kubwa ( sitting room)
Ina sehemu ya kulia chakula ( dining)
Ina jiko kubwa zuri nalakisasa ( kitchen)
Ina choo cha wageni ( public toilet)
Ina tiles
Ina gypsum
Ina slide windows
Maji ya dawasco yapo mpaka ndani...... NK.....
Nyumba ipo Mkoa wa Dar es salaam Tanzania maeneo ya MBEZI BEACH MASANA umbali kutoka lami kuu ya bagamoyo load mpaka inafika kwenye nyumba ni dk 5 tu.