dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Oct 4, 2018 #1 Nyumba ina vyumba 8 na frem moja ya biasha na ina kieneo kidogo cha mabanda kimebaki Mita 100 kutoka lami Panafaa kuboresha kwa ajili ya makazi, kwa biashara kama Gest house au apartment pia panafa Bei 75ml Mawasiliano na maongezi zaidi 0756060183
Nyumba ina vyumba 8 na frem moja ya biasha na ina kieneo kidogo cha mabanda kimebaki Mita 100 kutoka lami Panafaa kuboresha kwa ajili ya makazi, kwa biashara kama Gest house au apartment pia panafa Bei 75ml Mawasiliano na maongezi zaidi 0756060183
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 4, 2018 #2 Ni skwata?
dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Oct 5, 2018 Thread starter #3 King Kong III said: Ni skwata? Click to expand... Ndio mkuu ila majirani waengi wamepima..kwahyo panawezekana kupatikana hati
King Kong III said: Ni skwata? Click to expand... Ndio mkuu ila majirani waengi wamepima..kwahyo panawezekana kupatikana hati
dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Oct 5, 2018 Thread starter #4 Panafaa kwa biashara n makazi pia
Stanley Mitchell II JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 970 Reaction score 1,323 Oct 5, 2018 #5 Haha huwezi kua serious....yani ilo PAGAZI ni 75m?????
dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Oct 20, 2018 Thread starter #6 Stanley Mitchell II said: Haha huwezi kua serious....yani ilo PAGAZI ni 75m????? Click to expand... Mkuu nyumba inaweza kuwa ya kawaida lakn eneo iliyopo likawa na thamani Hebu angalia nyumba za kalikoo nakwingineko unaweza kuelewa zaidi
Stanley Mitchell II said: Haha huwezi kua serious....yani ilo PAGAZI ni 75m????? Click to expand... Mkuu nyumba inaweza kuwa ya kawaida lakn eneo iliyopo likawa na thamani Hebu angalia nyumba za kalikoo nakwingineko unaweza kuelewa zaidi