dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Ina bustani nzuri..
Mi nimejenga kama hii kwa milioni sitiniNSSF walikuwa wanauza nyumba ya vyumba vitatu milioni 72. Kwa hiyo m600 NSSF wangekuuzia nyumbaTISA kama hizi.
Hivi hizi bei mnatumia vigezo gani?Nyumba zipo mbili kwenye compound ya 3500 sqm
(1) Ina vyumba 3 kimoja self na ukubwa wa kiwanja tunagawa 1500sqm
Bei 300m
(2) ina vyumba 3 vyote ni self na ukubwa wa uwanja itakuwa 2000 sqm
Bei 350m
Na pia unaweza kununua eneo lote kwa 600m
Eneo lina hati na liko mtaa wa pili kutoka lami.
Maongezi zaidi na kuja kuona 0756060183View attachment 1006463View attachment 1006464View attachment 1006465
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizo bei huyu ni dalali kaweka cha juu kisha anapata zaidi ya mmiliki.
Mkuu haya mawazo yako huna tofauti na mchawiKwa hizo bei huyu ni dalali kaweka cha juu kisha anapata zaidi ya mmiliki.
Zipo Mbezi Beach? au maporiniNSSF walikuwa wanauza nyumba ya vyumba vitatu milioni 72 VAT inckusive. Kwa hiyo m600 NSSF wangekuuzia nyumbaTISA kama hizi.
Mbezi beach?Mi nimejenga kama hii kwa milioni sitini