dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #21
Ukiwa tayari unaweza kuja eneo la tukio uone thn utajua thamani ya maeneo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao NSSF wenyewe hawawezi kujenga nyumba mbezi beach, hela hiyo hawana na kama unabisha unaweza kunionyesha walipojengaNSSF walikuwa wanauza nyumba ya vyumba vitatu milioni 72 VAT inclusive. Kwa hiyo m600 NSSF wangekuuzia nyumbaTISA kama hizi.
Hiyo sio nyumba itakuwa mtego na siku si nyingi utakuangamiza na wote wakaao humo ndani.yaani hela ya kujengea fenc wewe umejengea family house? Aaah ndg hebu kuwa serious acha utani na kudanganya wenzioMi nimejenga kama hii kwa milioni sitini
Hahahaha
Hiyo sio nyumba itakuwa mtego na siku si nyingi utakuangamiza na wote wakaao humo ndani.yaani hela ya kujengea fenc wewe umejengea family house? Aaah ndg hebu kuwa serious acha utani na kudanganya wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani, hivi kuishi Mbezi Beach au Masaki wapi bora?Hiyo sio nyumba itakuwa mtego na siku si nyingi utakuangamiza na wote wakaao humo ndani.yaani hela ya kujengea fenc wewe umejengea family house? Aaah ndg hebu kuwa serious acha utani na kudanganya wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kujenga NYUMBA wewe ndio maana. We endelea kuwa dalali .
By the way hiyo nyumba unayo itangaza haina thamani hiyo
Samahani, hivi kuishi Mbezi Beach au Masaki wapi bora?
Hujawahi kujenga NYUMBA wewe ndio maana. We endelea kuwa dalali .
By the way hiyo nyumba unayo itangaza haina thamani hiyo
Nishakushusha nyota tayariMkuu me nakushauri ungesoma vizuri hilo tangazo, (1) eneo ni mbezi beach mtaa wa tatu kutoka ufukweni yaani baharini
(2) Eneo lina ukubwa wa 3500sqm
(3) Ndani ya eneo kuna nyumba mbili na moja ina vyumba 3 kimoja Self na nyingine ina vyumba 3 vyote ni self
(4) nyumba ya kwanza ina mpangaji analipa dola 800 kwa mwezi mmoja ambayo si chini ya Tsh 1,700,000/=
Ya pili mpangaji analipa Dola yaani usd 1000 kwa mwezi mmoja sawa na Tsh 2,250,000/=
Sasa kwa mchanganuo huu unaweza kulinganisha na hako kabanda kako ulikojenga huko tuangoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha [emoji28] [emoji13] maneno niliyopata kwenye hii thread ni:-
- Mbezi Beach
- Kabanda
- Nyumba
- Tuangoma
- Dalali
- 600M
Those who go to hunt go with dogs and not with cats.
Taja bei ya