dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #41
Taja bei ya
Wisho wengi e tu.echoka kuishi za kupanga
mkuu ninayo nyingine naiuza ipo salasala kinzudi..ina vyumba 3 na sebule pamoja na choo pamoja na jiko la kumalizia ukarabati na ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20 bei yake ni 25mKwa hizo bei labda nikusaidie wasiliana na dr. Shika
Je Mto Mbezi upo umbali gani ni hilo maana napajua vizuri na naishi huko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Wachawi sio mpaka wawe na tunguri! Sasa kama unaona bei kubwa si ukae kimya ! Kwan mpk umwaribie mtu biashara! Nd maana wabongo hawadumu uarabuni! [emoji23][emoji23][emoji23] pye pye nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana haiko karibu na mto ni maeneo mazuri kwa makazi hapa panaitwa kinzudi majengo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ninayo nyingine naiuza ipo salasala kinzudi..ina vyumba 3 na sebule pamoja na choo pamoja na jiko la kumalizia ukarabati na ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20 bei yake ni 25m
Karibu sana hii inaweza kukufaa zaidi kuliko kuumiza kichwa na maeneo ya wanaoishi walionazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna weledi katika ufanyaji wako wa marketing na biashara in general ni vyema ukajifunza zaidi
Dalali unaishi room moja ya kupanga unapewa kazi ya kuuza nyumba mil.300+ alafu unaongea kama ndo tajiri mwenyewe! Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalali unaishi Ki BOSS BOSSSorry mkuu hunijui sikujui ila kwa uhakika tu ni kwamba waswahili tunasema, usimdhalau mtu usiyemjua utakuja kuumbuka bure..maisha ninayoishi wewe huwezi kugusa hata kwa dawa kwangu wewe ni kama house boy wangu tu mfungua geti. Pole sana na roho yako mbaya ya ibirisi iliyojaa matakataka ya umasikini
Sent using Jamii Forums mobile app
kila mtu ni Boss kwa nafasi yake ndg, Mungu ajua mpango wake kwa wanaadamu na ni kosa mbele za Mungu kumdharau mtu mwingineDalali unaishi Ki BOSS BOSS
itakua udalali unalipa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teflon_Don
Mbezi beach kiwanja bei gan ndio swali lianzie hapo