Nyumba nzuri inauzwa mbezi beach Renbow

Hili jina la huyu jamaa kama ndio wale ninao wafahamu ni kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya realestate. Sio madalali wa kubabaisha. Na deal zao ni kubwa kubwa. Angalia hilo jina mitandaoni
Dalali unaishi room moja ya kupanga unapewa kazi ya kuuza nyumba mil.300+ alafu unaongea kama ndo tajiri mwenyewe! Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitoka majengo kama unaelekea kanisani, mbele kidogo kuna transformer unaingia kushoto mtaa wa bi mjumbe na ukienda nao mbele kuna mtaa mkono wako wa kulia umeandikwa manyanga ,nyumba kama 7 mkono wako wa kushoto
Sehemu ipi hapo kinzudi?? karibu na kanisa la Roman Catholic au sehemu gani?? maana hayo maeneo ni mwenyeji sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii Ipo Mapinga shule ukitoka Bunju B. dsm,

inauzwa milion 50. . . ina umeme, maji, room 3 kimoja masta, jiko, na sitting room
 

Attachments

  • IMG_20190207_215544_200.jpg
    17.2 KB · Views: 28
  • IMG-20190206-WA0000.jpg
    33.9 KB · Views: 21
Sasa Mkuu maeneo ilipo iyo nyumba kwa bei hizo anazosema ni sawa
 
huyó amejenga udindivu huko mkuu
 
Kigamboni. Kwani Mbezi beach kuna nini cha maana? Au limekuchanganya neno beach?
Thamani ya ardhi kwa kigamboni ni sawa na ile ya mbezi beach?
Mbona GSM walinunua nyumba ya mil.300 hapo kigamboni lakini unajua ilikuwa eneo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…