Nyumba nzuri inauzwa musoma mjini

Weka picha kama una nia kweli ya kuiuza. Picha zionyeshe maeneo yote ya nyumba. Iwe ndani, vyumbani, vyoo, mabati, nje, uzio, geti n.k.
 
Aisee nimeipenda sana hii nyumba! ila mbona ipo karibu na machinjio ya Ngombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…