Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Mbona umekariri? Kwamba kila anayekupinga amepanga!Acha uzwazwa wewe unajuwa hata bei ya tofali,cement ,nondo,bati?
Nenda ALAF waulize bati moja inauzwa beigani kama sio bajeti yako ya mwezi na uonekane mjanja kwa wapangaji wenzio?!
Ulitaka nikujibu friendly wakati unaonyesha dharau mwenye nyumba hauzii njaa na mimi sioni kosa kulazimisha kuuza nyumba nzuri kama hii kwa bei ya walalahoi.Watu wapo and they know what is meant to have a houseMbona umekariri? Kwamba kila anayekupinga amepanga!
Kwahiyo ulitaka tukusapoti kwa hili pagale na hiyo bei?
Kwa ulivyo na mdomo mchafu ukiuza hata laki tano katoe sadaka
Angukuwa anashsurika.... IlaNimeongea kiuzoefu mkuu ,ukiipiga finishing nzuri 30-40m unaweza kufika ila m.80 Ni ngumu ,
Kwa sababu m.80 una viwanja viwili na nyumba mbili Kama hizo sasa kwa Nini mtu anunue hiyo nyumba asinunue kiwanja??
Hata humu jukwaaani JF Kuna nyuzi nyingi TU za watu wanauza nyumba/viawanja dodoma Tena mjini ila siyo Bei hiyo......Kaka ukipata m.20 shukuru
Jamaaaa mbishi........Nyumba ipo 45km from city center halaf katkat kuna pori bado mtu anauza m80 ..we dalali njoo mirembe siyo mda sana utaanza kuvua nguo.
Wewe ndio hujui thamani ya nyumba ya Sasa mkuu.
Dar es salaam nyumba Kama hizo ziko nyingi sana zinauzwa mil 30.
Wewe upo nchi gani usijue kuwa hela ngumu msimu huu wa vyuma kukaza.
Bei ya mwanzo ndo inareflect, yaan hapo kwa hiyo bei ya mwanzo kupata mteja ni kazi labda ubahatishe kwa wasio jua Ndugu yanguMkuu nimekwambia mazungumzo yapo kwa serious buyers
Mkuu hiyo alerting price mtu mwenye nia ya kununua anaonekana tu,no za mwenye nyumba zipo hapo unaweza kumtafuta akitaka kuuza hata 45m ni yeye ila sio mimiBei ya mwanzo ndo inareflect, yaan hapo kwa hiyo bei ya mwanzo kupata mteja ni kazi labda ubahatishe kwa wasio jua Ndugu yangu
Embu jaribu kutafakari bei yako ya mwanzo
Mkuu nimekwambia mazungumzo yapo kwa serious buyers
acha ubishi hilo ni bandaWewe unafikiri nyumba ni plasta hii nyumba iko ok na mwenyewe amekuwa akiishi hapa na familia yake huoni kuna kila kitu mpaka bomba la maji mlangoni?!
Ni ngumu sana kwa huyu jamaa kuuza, majibizano yake hayawezi mvutia mtu mwenye busara kufanya nae biashara!Mkuu kama kweli wewe ni dalali basi unakosea sana,na kwa kukusaidia tuu muachie mwenye nyumba aiuze mwenyewe, kupitia kwa dalali wewe huiuziki kamwe
NB: tafuta walimu wastaafu huko utafanikiwa maana akili za wastaafu wengi nazo (akili zao)zimestaafu
Mkuu, mbna unauza kwa bei rahisi sana? Hyo nyumba imesimama sana ... halaf km 45 had mjin unaweza hta ukatembea tuu...Anzia mil 100 mkuu.. utapata mteja chap..
Tatizo sina hela kabisa... ndomana napishana na fursa kama hii... daah