samawatisamawati
Member
- Apr 9, 2019
- 32
- 15
Usiogope mkuu njoo tuuNyumba nzuri kasoro bei kwa awamu hii inagoma.
Hapana mkuu siyo jenga uzaa hii karibu uoneSiyo jenga uza hii kweli?
[emoji38][emoji38][emoji38] narudi kijijini mkuuSasa ukiuza wewe utakaa wapi mkuu
Majibu Mujarabu[emoji38][emoji38][emoji38] narudi kijijini mkuu
Karibu sanaNi nzuri kwa kweli nimeipenda
Ngoja niende Google maps