House4Rent Nyumba nzuri ya kisasa inapangiswa kimara Temboni DSM

House4Rent Nyumba nzuri ya kisasa inapangiswa kimara Temboni DSM

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nyumba ina chumba, sebule na choo, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya na haijawahi kuishi mtu, umbali ni dk 10 tu kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu ndani ya uzio na kila moja inajitegemea maji na umeme, maji ya dawasco yapo! Kodi ni 180,000 kwa mwezi na ilipwe kwa miezi 6.

kama itakuvutia nicheki kwa 0684448888 au 0713415537
20180902_110351.jpg
20180902_110835.jpg
20180902_110922.jpg
20180902_110948.jpg
20180902_111005.jpg
20180902_112202.jpg
20180902_112053.jpg
20180902_112238.jpg
20180902_112304.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 20180902_112304.jpg
    20180902_112304.jpg
    21 KB · Views: 41
  • 20180902_112238.jpg
    20180902_112238.jpg
    38.5 KB · Views: 41
iko vizuri, wale mabechelor na mnaomiliki vi IST changamkieni fursa hiyo hameni sinza na magomeni
 
Aisee nyumba nzuri. Ushauri humu jamani Nina kiwanja changu karibu na bagamoyo nipo tayari kujenga. Nyumba kwa ajili ya biashara jee ni vizuri nijenge vijumba kama hivyo viwili. Za vyumba viwili. Au nyumba moja tu ya vyumba 3?
 
Jenga mbili mkuu
 
Kuna mikoa ya ajabu, nyumba kama hiyo Iringa mtu bila aibu anaweza akakuambia laki 2 na nusu mpaka 3
 
Back
Top Bottom